Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwigizaji Bongo Movies Gladness Kifaluka Afunguka Kudate Wanaume Wawili Kwa Mara Moja "Wanajuana Nimeshindwa Kuchagua"
Inawezekana ikawa imezoeleka kwa Mwanaume kudate na mwanamke zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja ila hili la mwanamke kudate na wanaume wawili alafu wanaume wakajuana kuwa wanadate na mtu mmoja lina ugeni kidogo.

Hasa kutana na muigizaji wa Bongo Movie upande wa Comedy, Gladness Kifaluka ambaye yeye anatoka na wanaume wawili na Wanaume hao wanajuana kabisa. Gladness anadai kaangukia kwa wanaume wawili anaowapenda sana na kashindwa kabisa kuchagua nani amuache na nani aendelee nae..lakini pia Amewapa nafasi wanaume zake wajadiliane nani abaki na nani aachie zigo,wote pia wamegoma kuachia.

Kupitia Refresh ya Wasafi Tv, Gladness ameongea nao wote kwa simu na mmoja ameseviwa Baby Love na mwingine Mi Amor.


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments