.

8/19/2021

Mzee wa Upako Atema Cheche "Watawala Msianzishe Vita na Makanisa Kuingilia Uhuru wa Kuabudu"
Watawala wasianzishe chokochoko ambazo zinaondoa utulivu, wasianzishe vita na makanisa, mara kuingilia Uhuru wa kuabudu mara utasikia watu wanakamatwa kanisani,hii sio sawa" Anthony Lusekelo

"Tuna shida ya kisiasa hapa Tanzania, vuguvugu la kisiasa limeanza, tuna shida ya Corona na Tozo, tusijitwishe mzigo mwingine. Uhusiano uliopo kati ya Serikali na taasisi za dini udumishwe udumishwe kwenye kasoro tututumie taratibu kusuluhisha" Anthony Lusekelo
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger