.

8/18/2021

Nai Afunguka "Amber Lulu Anamtaka Mpenzi Wangu, Tutapigana Simuogopi

 


Mrembo Nai ambaye kwasasa amejikita kwenye muziki, amefunguka mazito kwenye exclusive interview hii ambapo  amemshtumu vikali msanii mwenzake Amberlulu kuwa anamtaka kinguvu mpenzi wake hivyo watapigana.

Muimbaji huyo wa kizazi kipya pia ameeleza kuwa Amberlulu hamuogopi.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger