AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
#NUKUU “Gwajima amevuka mipaka, anapotosha Taifa, hawezi kupingana na serikali na hana uthibitisho wa kisayansi, anasema mtu akichanjwa kuna vitu vinaingizwa mwilini ili mtu afe baada ya miaka miwili ama 10 tutamuita athibitishe hili na akishindwa tutamshughulikia" amesema Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK