.

8/09/2021

Nandy "Sijasainiwa na MR Eazi Mimi ni Msanii wa Kujitegema


Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Instagram Wa @officialnandy Ameandika...........''MIMI NA MR EAZ NI BUSINESS PATNERS SIO KWENYE MZIKI TU HATA BIASHARA SABABU KUTOA MZIKI KUNA VITU VINGI NYUMA YA MZIKI WETU!! MASWALI YAMEKUWA MENGI SANA PAGE ZINAANDIKA SANA MARA NIME SAINIWA MARA IV MARA VILE NOO GUYS ME NI MSANII NINAYE JITEGEMEA NA KUSHIRIKIANA NA WAFANYA BIASHARA WENZANGU. PUNGUZENI HABARI FAKE

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger