.

8/12/2021

Nicole "Ningekuwa Najiuza Ningekuwa Tajiri Sana NATUMIA Dola 800 Kwa Siku"Mrembo mwenye shape yake hapa Africa @nicolejoyberry kupitia interview aliyoifanya na channel ya Millardayo amewatolea povu wale watu wanaodhani yeye anajiuza:

"Wanaotaka kuninunua sidhani kama wanapesa za kunilipa so far....i think hata hapa unanifanyia interview you can see its not more money...I spend over 800 Dollars a day inamaanisha kama najiuza nilipwe that means they have to pay me....kiukweli ningekua najiuza ningekua tajiri sana" - Alisema Nicole


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger