.

8/02/2021

Operesheni Kibiti imerejea tena- IGP Sirro




Mkuu wa Jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro amesema Operesheni Kibiti imerejea tena ili kuweza kukabiliana na Uhalifu kwenye maeneo hayo hususani Ugaidi, Usafirishaji Dawa za Kulevya pamoja usafirishaji wa Binadamu.

Ametoa kauli hiyo Jijini Dar es Salaam katika mkutano wake na Waandishi wa habari.

Amesema Operesheni hiyo itaanzia mkoa wa Pwani eneo la kibiti kuelekea Mikoa ya Kusini ikiwemo Lindi na Mtwara.

Kufuatia Operesheni hiyo ametoa rai kwa Wananchi kutoka Ushirikiano kwa Pale wanapoona jambo lisilo kawaida kwenye maeneo yao.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger