Picha ya Rayvanny akiwasili Kenya yazua utata, Wakenya Wauliza Kama Kaja na Boda Boda si Kwa Vumbi Hilo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Picha ya Rayvanny akiwasili Kenya yazua utata, Wakenya wanauliza vipi Jamaaa amekuja Kenya na Boda Boda Au, kwani ameonekana akiwa na Vumbi balaa na Koti chafu...Wengine wadai sio kweli ni Madhara ya kupigwa picha na Techno Wherever... WE MDAU unaonaje Embu Karibu kuizoom hiyo picha utupe majibu🤣

Rayvanny Katua Nairobi kwa ajili ya shughuli zake za music
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad