Rais wa Zambia awatimua kazi wakuu wa Jeshi, Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Rais wa Zambia aliyechaguliwa hivi karibuni, Hakainde Hichilema hapo jana aliteua wakuu wapya wa jeshi na kuwabadilisha makamishna wote wa polisi baada ya kuahidi kukomesha ukatili wa polisi uliokuwa ukifanywa wakati wa utawala uliopita.



Makundi ya kutetea haki za binadamu yalimlaumu rais wa zamani Edgar Lungu kwa kuukandamiza upinzani nchini humo, huku ukatili wa polisi ukitajwa kusababisha vifo vya watu watano tangu aingie madarakani mwaka 2016.

Binafsi Hichilema, amewahi kukamtwa mara kadhaa wakati akiwa katika shughuli zake za kisiasa na aliahidi kulishughulikia tatizo hilo katika kampeni zake za uchaguzi.



Wakati wa uteuzi huo, Hichilema aliwasisitiza polisi kwamba hakuna mtu anayepaswa kukamatwa kabla ya uchunguzi kukamilika.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad