Rapper Wakazi apata chanjo ya kujikinga na Uviko 19

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Ni Rapper na mwanasiasa kutoka ACT- Wazlendo, Webiro Wassira a.ka. Wakazi ambae  Agosti 2, 2021 ameujulisha umma kwa ujumla kwamba amejipatia chanjo ya kujikinga na Covid 19 (Uviko 19).

Staa huyo taarifa hiyo aliitoa kupitia ukurasa wake wa instagram na kuandika haya>>“Epuka mikusanyiko isiyo ya lazima. Nawa Mikono na maji tiririka (running water), tumia Sanitizer, Vaa Barakoa (Mask). Ukiweza Choma Chanjo, ili ikulinde zaidi Incase unakuwa exposed na Corona Virus”– Wakazi

“Hakuna kitu cha THAMANI kama AFYA (Uhai). Ilinde Afya yako kwa gharama zote”- Wakazi

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad