.

8/10/2021

Rasmi Messi asajiliwa na PSG na kutambulishwa
Klabu ya PSG kutoka nchini Ufaransa imefanikiwa kumsajili Lionel Messi mshambuliaji raia wa Argentina akitokea Barcelona kwa mkataba wa miaka mwili.

Messi amejiunga na PSG baada ya juzi kutangaza kuondoka Barclena kutokana na sababu ambazo nyingi zilikuwa nje ya uwezo wake, Messi sasa ataungana na Neymar, ramos, Mbappe Di Maria an wengine.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger