.

8/30/2021

Rayvanny kuchora tattoo ya Paula

Msanii  kutoka lebo ya wasafi,   Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amesema ikitokea nafasi ya kuchora tattoo atachora ya  mpenzi wake Paula  Kajala.

Rayvanny atoa kauli hiyo wakati akifanya mahojiano na kipindi cha Big Sunday Live jana baada ya kuonekana amechora tattoo ya lebo yake mpya.

Sababu ya kumtaja Paula ni baada ya kuulizwa maswali hukuhu mzazi mwenzake Fayvanny na mpenzi wake wa sasa  kuwa nani  anampa nafasi kubwa.

Hata hivyo amesema hawezi kuchagua kuwa nani anamkubali zaidi  kutokana na heshima anayowapa wote.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger