.

8/08/2021

Soma Ujumbe Kutoka Kwa DC wa Instagram Mbea wa Mjini Mwijaku

 


#FACT-"Black brothers and sisters Ni marufuku kukata tamaa! Inatakiwa kuamini katika 'second chance'.

Kuachwa na mtu ambae ulikua na mategemeo makubwa sana juu yake haimaanishi ndio mwisho wa maisha yako ya furaha na ndoto zako.

Kupata ujauzito na kujifungua kisha mhusika akakukimbia na ukabaki Single mother haimaanishi ndio basi tena hutakuja kutimiza ndoto zako.

Hua kuna maisha mengine licha ya magumu unayopitia. Haitajalisha moyo wako umevunjika na kupondeka kiasi gani ila Unaweza ukathubutu na ukawa yule mtu ambae siku zote umetamani uwe...

Je umeanguka? Inuka, futa vumbi, Jiamini, jipende, jithamini na songa mbele....

Destiny yako iko pale pale... There is life after every mishap!!!!

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger