.

8/06/2021

Sonia wa Monalisa Avunja Ukimya "Siwezi Kuwa Kama Paula wa Kajala"Mtoto wa Muigizaji Mahili Hapa Tanzania Monalisa Anayeitwa (soniamonalisa) Amezungumzia Kuwa Hawezi kuwa Kama Rafiki yake wa Karibu kabisa ( therealpaulahkajala ) Ambaye Ni Mtoto wa Kajalafrida.

"Siwezi Kuishi Kama Paula Mimi na Yeye Tunamalezi Tofauti Kabisa Mimi sijafunzwa Kuishi Hivyo Ila Simsemi kama Amelelewa Vibaya Hapana Tupo Tofauti tuuu kwenye malezi Ila atabaki kuwa Rafiki Yangu Milele Tumetoka Nae Mbali Sana"-Ameongea Sonia.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger