.

8/31/2021

Spika Ndugai amtaka Jerry Silaa kuomba radhi kwa umma
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jerry Silaa lazima aombe radhi kwa Umma kwa kosa alilofanya

Jerry Silaa ambaye ni Mbunge wa Ukonga alikutwa na hatia ya kuongea uongo kuhusu Mishahara ya Wabunge Kutokatwa Kodi


Kamati ya Maadili ya Bunge ilipendekeza Silaa asihudhurie Mikutano Miwili ya Bunge na avuliwe ujumbe wa Bunge la Afrika (PAP)


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger