.

8/13/2021

Staa wa Muziki Ulimwenguni Justin Bieber Amemshukuru Wizkid Kwa Kumpa Collabo


Staa wa muziki Ulimwenguni @justinbieber amemshukuru @wizkidayo kwa kumpa nafasi ya kushirikiana nae kwenye wimbo wake wa #Essence Remix ambao unatarajiwa kutoka siku ya leo

Justine Bieber ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiambatanisha na cover ya wimbo huo. Bieber ameandika
"Asante kwa kuniruhusu kushiriki kwenye wimbo wako wa majira ya joto. Essence Remix unatoka usiku wa leo"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger