.

8/02/2021

TANESCO Morogoro yaomba radhi wateja wake kwa kukosekana kwa umeme
Baada ya kuzuka kwa moto katika jengo la kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Msamvu mapema leo asubuhi na kusababisha kukatika kwa umeme Morogoro, Shirika la Umeme (TANESCO) Mkoa wa Morogoro limeomba radhi wateja wake na kusema Wataalamu wapo eneo la tukio kuhakikisha huduma inarejea kama kawaida

“Maeneo yanayoathirika kwa katizo la umeme ni Manisipaa ya Morogoro, Wilaya ya Mvumero, Kilosa, Mvuha pamoja na maeneo yanayotumia laini inayotoka Msamvu kituo cha kupoozea umeme” TANESCO Morogoro
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger