.

8/05/2021

Tanzia: Waziri Wa Zamani, Charles Keenja Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Charles Ndiliana Ruwa Keenja, amefariki dunia

Umauti umemkuta akipatiwa Matibabu Hospitali ya Saifee Dar es Salaam
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger