.

8/19/2021

Tishu aliyoitumia Messi kufuta machozi akiaga Barcelona yapigwa mnada inauzwa Tsh bil 2



Tarehe 8/8/2021 mchezaji maarufu wa Mpira wa miguu Duniani, @leomessi alikuwa anawaaga mashabiki wa klabu hiyo aliyoitumikia kwa zaidi ya miaka 20.



Akiwa anawaaga kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari, Messi alipnekana akibubujikwa machozi huku akichukua tishu akijifuta machozi. Sasa wakati ile Press Conference imeisha, Kuna muandishi wa habari shabiki kidakidaki wa Messi, Akachukua ile Tishu na kuondoka nayo.

Jamaa kwa sasa ameiweka kwenye mtandao na anaiuza kwa Dola Milioni $1 sawa na Tsh. Bilioni 2.3 . Kwenye mauzo hayo, Ameweka pia na jezi ya Messi na watu wanaonekana kutamani kununua kwenye Tishu hiyo.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger