.

8/25/2021

Ulinzi mzito nyumbani kwa jamaa alieuwa Askari wanne “alikuwa anajielewa”
“Nilikuwa namfahamu tangu akiwa udogoni nafahammu familia yake nafahamu anapokaa ila kuna muda kidogo alioondoka hapa ila juzi juzi akawa anapita hapa na pikipiki lake”- Dereva Taxi

“Ni mtu aliekuwa anajielewa sana, huyu bwana tangu anasoma akaja akaanza kujitegemea kufanya kazi kwasababu hawa baba yao alifariki kwahiyo alivyofariki inasemekana Baba yao aliwaachia mgodi wa dhahabu chunya Mbeya”- Dereva Taxi

“Wapo kama vijana wanne wamejikita kule kwahiyo wengine wanarudi hapa wanamuangalia mama yao kisha wanaondoka, hii ni nyumba ya msajili wamepangisha”- Dereva Taxi
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger