.

8/31/2021

Unaambiwa Huyu Ndiye Mwanajeshi wa Mwisho wa Marekani Kuikanyaga Ardhi ya AfghanistanAfisa huyu ametambuliwa kuwa ni meja jenerali Chris Donahue, kamanda mkuu wa kitengo cha makomando wa kikosi cha 82 ABNDiv, akisbiria ndege ya kusafirisha mizigo ya jeshi la wanahewa la Marekani aina ya C-17 usiku wa kuamkia leo Agosti tarehe 31 kuashiria mwisho wa vita vilivyodumu kwa takriban miaka 20 kati ya Marekani na wapiganaji wa Taliban.


Milio ya risasi ilisikika kote jijini Kabul wapiganaji wa Taliban wakisherehekea “Ushindi dhidi ya majeshi ya Marekani na washirika wake”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger