.

8/20/2021

Unaambiwa YouTube Moto Unawa..Furaha ya Rayvanny Yakatishwa na Ibra wa Konde Gang
Furaha ya @rayvanny kukaa namba moja on trending YouTube katika maudhui ya jumla imekatishwa ghafla na msanii @ibraah_tz , Rayvanny ambaye alikuwa nafasi ya juu akiwa na Whozu wimbo unaoitwa Chawa ametolewa kwenye nafasi hiyo na Ibrah aliyeingia na wimbo wake wa Jipinde.

Baada ya Rayvanny kumtoa @harmonize_tz on trending kwenye nafasi ya kwanza alishangilia na kujipa jina la Lecturer ikiwa na maana ya Rayvanny ni zaidi ya Harmonize anayejiita Teacher.

Rayanny aliandikaπŸ‘‡

“LECTURER πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ NUMBER UNOOOO πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ FUKUZAAAAAAAAA CHAWAAAAAAAAA
So proud of you whozu_ πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯”

Kwasasa Lecturer bado haamini kilichotokeaπŸ™Œ
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger