.

8/31/2021

Utaratibu wa Kuendesha Bunge Wabadilishwa
BUNGE leo Agosti 31, 2021 limepunguza muda wa kukaa bungeni na sasa litakuwa likianza saa 8 mchana na kuisha saa 1:00 usiku ikiwa ni hatua ya kujikinga na ugonjwa wa Uviko – 19.

“Kwa kuzingatia azima tuliyonayo ya kujikinga na Uviko 19…tutafupisha masaa ya kufanya kazi, vikao vya bunge vitaanza kuanzia kesho saa nane mchana na kuendelea hadi saa moja usiku bunge litakapoahirishwa hadi siku inayofuata saa nane ya mchana tena… Kipindi cha maswali na majibu kitatumia muda wa dakika 60 badala ya dakika 90”- Spika wa Bunge Job Ndugai amesema

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger