Vijana Wadaiwa KUWABAKA Wazee Wakiamini Watapona Ukimwi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Imeripotiwa katika makala za Russia Today(RT) kuwa Vijana wa #Kenya wanaamini kutembea na Mtu aliyewazidi umri kunatibu UKIMWI

Kwa kuwa sio wote wanaokubali kutembea nao, Vijana huwabaka waliowazidi umri hasa Wazee ambao wanajulikana kama 'Shushu'

Wazee hao wameanza kujifunza kupigana ili kujilinda inapotokea wanakumbana na matukio ya ubakaji


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad