.

8/10/2021

Wanafunzi wawili wafariki kwa kugongwa na gari....Jeshi la Polisi Lamtaka Dereva Ajisalimishe Haraka

 


 Watu wawili ambao ni wanafunzi wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Scania wakiwa stendi maeneo ya Afrikana barabara ya Bagamoyo Wilaya ya Kinondoni.

Taarifa iliyotolewa Jumatatu Agosti 9, 2021 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro imeeleza kuwa ajali hiyo imetokea alfajiri saa 11:15 alfajiri ambapo dereva alikimbia baada ya ajali hiyo kutokea.





HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger