Ticker

6/recent/ticker-posts

Wanajeshi 13 wa Marekani Wauawa Kabul Afghanistan..Biden Adai Kulipiza KisasiRais Joe Biden amesema Marekani itaendelea kuwaondoa watu Kabul licha ya shambulio lililosababisha vifo vya Wanajeshi hao. Kwa mujibu wa Kituo cha Al Jazeera, Raia wapatao 72 wamepoteza maisha

Ameahidi kulipiza kisasi kufuatia kitendo hicho na hawatosahau wala kusamehe na wahusika watasakwa. Licha ya kutolewa tahadhari ya kutokea shambulio, idadi kubwa ya watu walikusanyika eneo la Uwanja wa Ndege wa Kabul wakitumaini kuruhusiwa kupanda Ndege

Hadi sasa zaidi ya watu 100,000 wameshaondolewa Kabul wakiwemo 66,000 kutoka Marekani

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments