.

8/08/2021

Wananchi Wachoma Gari ya Halmashauri na Pikipiki
Wananchi wa kijiji cha Melela mkoani Morogoro wavamia Maafisa Ardhi na viongozi wa vitongoji na vijiji na kuchoma moto gari ya halmashauri, pikipiki, Kompyuta, kifaa cha upimaji na nyaraka nyingine za serikali, wakizuia upimaji.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger