.

8/02/2021

Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu Afunguka Utata wa Wakurugenzi Wawili Katika Uteuzi


Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amewataka Wakurugenzi wote wateule wakaripoti kwenye vituo vyao vya kazi kupitia kwa Makatibu Tawala wa Mikoa ndani ya siku tano kuanzia kesho na makabidhiano ya Ofisi yafanyike mara moja.

“Wakurugenzi wawili ambao majina yao yameonekana kutokea kwenye maeneo zaidi ya moja wataripoti kwenye kituo ambacho jina limeonekana kwa mara ya kwanza kwenye orodha ya uteuzi, aidha pale palipojirudia jina patatambulika Kama nafasi wazi na itajazwa hapo baadaye”——— Ummy Mwalimu

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger