.

8/16/2021

WCB Wamjibu Kiaina Harmonize Suala la Kuiga Kuvaa Mask...
Baada ya @diamondplatnumz kuonekana kuvalia mask kwenye Birthday's Party ya @romyjons iliyofanyika Elements siku ya ijumaa ,mashabiki tokea Konde Gang walianza maneno mitandaoni kuhusu Diamond kumuiga @harmonize_tz aliyevaa hivyo kwenye video ya wimbo wake wa Sandakalawe.

Hii ilipelekea hadi label ya @kondegang kupost picha Harmonize akiwa kavalia mask na kuandika "Call Him Teacher, Role Model wa wengi"

Hasa @wcb_wasafi si kinyonge wameamua kuweka kumbukumbu sawa kuwa wamejiiga wao wenyewe wakipost video clip ya wimbo wa Diamond unaoitwa Kanyaga, huko ndani Famous Dancer @moseiyobo anaonekana kavalia Mask na wakisisitiza kukanyaga uzushi.🙌

"Kanyaga Uzushi Kudadadeki

The Only One Famous People In Tanzania 🇹🇿 MOSE MWANA WA IYOBO @moseiyobo

It Is What it Is

Published June 25 2019"

Hii vita mura ni kubwa😂🙌
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger