.

8/13/2021

Wenzetu Wameacha Muziki Uongee Mpaka Justin Bieber Anaomba Collabo..Kwetu Kiki Zimetawala
Msanii @justinbieber ameshukuru kupata nafasi ya kushiriki kwenye wimbo wa Essence remix ambao ni wa @wizkidayo ft @temsbaby ikiwa ni miezi minne tu nyuma,March 19 toka amshirikishe @burnaboygram kwenye wimbo wake wa Loved by You ambao hadi sasa una zaidi ya views milion 6.1 YouTube.

Wasanii wa Nigeria wameendelea kutoboa kimataifa katika muziki wao,hawatumii nguvu nyingi sana zaidi ya ushirikiano walionao kama silaha ya haya yote na kuacha muziki wao uongee zaidi.

Kuna muda niliwahi sema kwa ukubwa alionao DIAMOND PLATNUMZ kuna vitu angeachana navyo,mfano hizo challenges anazopost zinachafua image ya account yake, hayo mambo angeachia fan pages au ukurasa wa WCB ndio ungekuwa unafanya kazi hizo au kushare kwenye Insta story,Hatumpangii cha kufanya ila hivyo ndivyo mastaa wanajiweka.

Rejea kwenye acc za wasanii wakubwa Afrika na duniani kama wanafanya hivi vitu. Mfano Davido ana davidodmlnews,Wizkid ana wizkidnews Burnaboy ana Burnaboyworld ni kurasa ambazo utapata mauchafu yote ya wasanii hawa. Ila ingia kwenye kurasa zao ni safi na zenye kuvutia,kwa hii akili Diamond Platnumz kazidiwa kabisa na @officialalikiba ๐Ÿ˜‚.

Hatujamaliza hilo kaka yetu katuletea kihoja kingine cha screenshot akibonga na Snoop doggy๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ utoto mtupu. No hate bali ukweli unamatter,bado kuna kaushamba flani star wetu anako labda iwe ndio kutafuta attention.

Usiache kufollow @sajomedia kwa taarifa zaidi za burudani.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger