WHOZU Akiri Kukamatika Kwa Mrembo Tunda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MSANII wa Bongo Fleva, Oscar Lelo au Whozu anafunguka kuwa, amekamatika ile mbaya baada ya hisia zake kimapenzi kutekwa na baby mama wake, Tunda Sebastian.


Akizungumza na Gazeti la IJUMAA, Whozu anasema kuwa, upendo alionao kwa mpenzi wake huyo hauwezi kuelezeka kwani kuna muda anatamani aitie vyombo vya habari na maeksi wake wote awaambie ni jinsi gani alivyo na furaha kwa sasa.


“Nashindwa sijui hata niongee kitu gani ila Tunda ananifanya nainjoi sana. Huo ndiyo ukweli usiopingika kwamba nimekamatika kwa Mama Lola, huyu mwanamke ananipa ninachotaka,” anasema Whozu ambaye miezi michache iliyopita alifanikiwa kupata mtoto wa kike na Tunda.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad