Wizkid Avunja Rekodi ya Mauzo ya Tiketi London

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




MKALI kutokea Nigeria, Wizikid ambae time hii amechukua Vichwa vya Habari baada ya kuutaarifu umma kumalizika mapema kwa tiketi za show yake inayotarajiwa kufanyika Uingereza.

Show hiyo inatarajiwa kufanyika mnamo 26th Novemba 2021 katika ukumbi wa 02 London Arena ambao uingiza watu zaidi ya Elfu 2o.

 

Staa huyo alithibitisha Taarifa hizo za kumaliza kwa tiketi za show yake kupitia Instagram ambapo aliandika…….”Sold out the O2 in 12mins!! Love u london!! 🖤❤️🦅” ✍…”.@wizkid”

 

Na miongoni mwa nyimbo zake zinazofanya vizuri kwasasa kwenye charts mbalimbali ni huu uitwao Essence aliyomshirikisha Tems ambao kupitia mtandao wa Youtube umetazamwa na watu zaidi ya 19,206,422.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad