Yanga kuanza kuwavutia kasi Wanaijeria, kambi yao Morocco kuanza leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



 HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari ya Yanga amesema kuwa maandalizi kwa ajili ya mechi za kimataifa yapo vizuri kwa kuwa wanahitaji kupata matokeo chanya.

Yanga katika mashindano ya kimataifa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa na Wanaijereia kwenye hatua ya awali ambapo mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kati ya tarehe 10/12 wanaweza wakacheza mchezo huo Uwanja wa Mkapa na itacheza na Rivers United FC.

Msimu huu kwenye mashindano ya kimataifa itakuwa na wachezaji wake wapya ikiwa ni pamoja na Heritier Makambo, Fiston Mayele, Jesus Morocco.

Bumbuli amesema:-"Kambi tunaanza tarehe 15 tutakapokuwa tumefika Morocco kwa hiyo mpaka tarehe 26 kambi itakuwa imekamilika, tarehe 27 timu itarejea Dar es Salaam kwa wachezaji wote kwa ajili ya kushiriki tamasha la Wananchi kwenye kile kilele.

"Baada ya hapo kutakuwa na mapumziko kati ya tarehe nne na tano kutakuwa na mapumziko kwa wachezaji kwa ajili ya Kombe la Dunia, kuna wachezaji ambao wataitwa timu zao za taifa watakwenda kwenye mataifa yao.

"Tarehe 8, 6 watakuwa wanarejea kwa ajili ya kujiandaa na mtanage wa awali. Kwa hiyo tunaamini kwamba wale wachezaji wetu wengi kama wataitwa timu za taifa watakuwa huko na wale ambao watabaki baada ya kilele cha wiki ya Mwananchi wataendelea na maandalizi," .

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad