.

8/23/2021

Yanga yasitisha ratiba ya kambi yao ya nchini Morocco
Yanga imesitisha ratiba ya kambi yao ya nchini Morocco na kutangaza rasmi wanarejea jijini Dar es Salaam kumalizia maandalizi yao.

Maamuzi hayo yametangazwa na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, mhandisi Hersi Said akisema zipo sababu mbalimbali zilizowapelekea kufanya maamuzi hayo.

Hersi amesema kumeguka kwa baadhi ya wachezaji wao ambao wanatakiwa kujiunga na timu za taifa ndio sababu ya kwanza ambapo jumla ya wachezaji wao nane kuitwa timu za taifa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger