.

8/15/2021

Young Dee "Nilikaa na Namba ya Simu ya Mr Blue Kwenye Karatasi Kwa Miaka Minne"Katika Historia ya Young Dee Kwenye Muziki jambo ambalo hawezi kusahau ni mwanzo wa kupata nafasi ya kurekodi ambayo ilimchukua muda mpaka kurekodi wimbo wake wa kwanza .

Young Dee anasema alikuwa anamfata Mr Blue Wakati ni mwanafunzi kumuelezea kwamba anakipaji akiwa na wenzake, Byser alimsikiliza na kuumpa siku ya kwenda kuonana kwa mara nyingine na kumuandikia namba ya simu kwenye karatasi ambayo kwa mujibu wake alikaa nayo miaka 4 licha ya kuwa ameishika kichwani lakini karatasi hiyo aliitunza .

Mr Blue alifanikiwa kumfungulia Dunia kwa kumkutanisha na Dully Sykes na Njia ya kupata upenyo kwenye muziki ikaanza japo alikaa kama mwaka mmoja mpaka kufanikiwa kurekodi wimbo .

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger