.

8/17/2021

Zaidi wa Watu 600 Wapanda Ndege ya Marekani Kwa Nguvu Uko AfaghanistaniIdadi hiyo ya Watu inatajwa kuwa zaidi ya mara tano ya uwezo wa Ndege kubeba abiria na moja ya idadi kubwa zaidi kuwahi kubebwa katika ndege hiyo aina ya Boeing C-17 Globemaster III

Waliofanikiwa kuingia ndani walitumia mlango ambao haukufungwa vizuri wakati Ndege hiyo ikiwa katika Uwanja wa Ndege Mjini #Kabul

Kujaa kwa Watu katika Uwanja huo kulitokana na taarifa za uzushi kusambaa Mjini Kabul kuwa Jeshi la Marekani linatoa usafiri wa bure kuwapeleka Wananchi wa #Afghanistan kwenda Marekani na #Canada.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger