.

8/06/2021

Zitto Kabwe, Sugu na wanasiasa wengine walivyofika Kisutu kusikiliza kesi ya MboweLeo agosti 6 2021 ilikuwa siku ya kusikilizwa kesi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe na wenzake watatu katika mahakama ya Kisutu baada ya jana kushindikana kutokana na tatizo la mtandao kwani kesi hiyo ilitarajiwa kufanyika kupitia mtandao.

Majira ya saa tatu asubuhi ndio ilianza kusikilizwa baada ya washitakiwa kufikishwa mahakamani kama mahakama ilivyotaka siku ya jana .

Wana Siasa mbalimbali wa vyama vya Upinzani akiwemo Zitto Kabwe na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi alimaarufu Sugu walivyofika Kisutu.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger