.

8/09/2021

Zuchu Aomba Ulinzi Kisa Ngoma Mpya Anayotaka Kuachia


Wiki Kadhaa Zilizopita Msanii @officialzuchu Alishare Video Yenye Kionjo Cha Ngoma Yake Mpya Akiwa Studio Na Hii Kuwafanya Mashabiki Wa Muziki Wake Kisubiri Kwa Hamu Kubwa.

Mapema Leo #ZUCHU Ameeleza Kuhusiana Na Ujio Wa Ngima Yake Mpya Ambayo Bado Hajaitambulisha Rasmi Huku Mashabiki Wakitafsiri Huenda Ni Ngoma Ya Ile Video Ambayo Alipost Wiki Kadhaa Nyuma, Kupitia IG Yake #ZUCHU Amejitapa Kuwa Ngoma Hiyo Ambayo Anakwenda Kuiachia Mwezi Huu Itakua Ni Ngoma Kubwa.

Kupitia IG #ZUCHU Ameandika.........''GOMA NALOENDA KUACHIA πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜©πŸ˜·☹️πŸ˜’ NAOMBA KUONGEZEWA ULINZI AKI VILE LINAEZA KUHATARISHA MAISHA YANGU πŸ₯΅πŸ₯΅πŸ₯΅πŸ₯΅ πŸ”₯πŸ™ŒπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ TAREHE 21/08/2021 PATAKUA HAPATOSHI''

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger