.

9/10/2021

Afariki Dunia Kwa Presha Baada ya Kuzinduka Kutoka Kwenye Koma na Kukuta Msiba Wake Wakitaka Kumzika


UNAAMBIWA Mwanamke wa Urusi aliyekuwa anaitwa Fagilu Mukhametzyanov alifariki kwa presha akiwa kwenye msiba wake mwenyewe, ni kwamba akiwa Hospitali Daktari alisema ameshafariki hivyo shughuli za mazishi zikaandaliwa lakini kumbe Daktari alikosea kwani Fagilu alikua hai.

Siku ya kuzika akiwa kwenye Jeneza alipata fahamu na kushangaa kukuta umati nyumbani kwao Ndugu, Jamaa na Marafiki wakilia kwa uchungu alipouliza akaambiwa wanajua sababu waliambiwa yeye amefariki hapohapo presha ikapanda kwa mshtuko na akafariki kweli.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger