google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Aunty Ezekiel Aonesha Dharau Kwa Kusah Ataja Mwanaume Anaempenda | UDAKU SPECIAL

Aunty Ezekiel Aonesha Dharau Kwa Kusah Ataja Mwanaume Anaempenda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Waja wanadai kauli hii ya @auntyezekiel ni kumshushia heshima mumewe @_kusah_ lakini inaonekana kwa Aunty Ezekiel ni namna alivyoamua kumuwishi mpiga picha @petefarasi9 katika siku yake ya kuzaliwa. Aunty ameandika👇

“NAKUPENDA TUU WW KAKA❤
JAPO MUME WA MTU LAKINI MM APA NAKUPENDA HVYOHVYO......😔😔😔
Mwambie Jaman 😥😥😥”

Au Aunty kuna udambwi udambwi kapewa na Shishi Baby kuhusu wapiga picha?🤪

Tupia maoni yako hapo kuhusiana na meseji ya Aunty kwa Pete kabla ya mfunga kamba za viatu hajaja😁


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad