.

9/15/2021

Azim Dewji Amsikitia Haji Manara, Badala ya Kutafuta Ubunge Ametishia Kwenda Yanga"


Mfadhili wa zamani wa Simba, Azim Dewji akimzungumzia sakata la kuondoka kwa aliyekuwa msemaji wa timu hiyo, Haji Manara ambaye kwasasa ni msemaji wa Yanga.

"Namsikitikia Manara amekaa Simba na kupata umaarufu mkubwa sana, badala ya kutafuta ubunge au kitu kingine kikubwa ameishia kwenda Yanga, wakati alikuwa na nafasi kubwa ya kupata Ubunge"

"Huwezi ukakaa kwenye Klabu wakati wote, Kuna siku kitanuka tu. Lakini hatakama utaondoka iwe hata kwa mchezaji, inatakiwa utoke Klabu ndogo na kwenda Klabu kubwa, na siyo kutoka Klabu kubwa na kwenda Klabu nyingine kubwa inayolingana uwezo na Ile uliyotoka,"

Azim Dewji
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger