.

9/06/2021

Baba Levo Amtupia Dongo Bondia Hassan Mwakinyo "Anapigana na Wazee"


Mwanamuziki na mtangazaji wa kipindi cha Mgahawa cha Wasafi fM @officialbabalevo ametupa maneno yanayo tafsiriwa kama kijembe kwa Bondia #HassanMwakinyo baada ya pambano lake la jana.Kupitia insta story yake #BabaLevo ame share ujumbe huo, ikiwa ni baada ya bondia #HassanMwakinyo kushinda pambano lake dhidi ya bondia #JuliusIndongo kutoka Namibia kwa TKO kwenye round ya 4 tu ya pambano hilo na kutetea ubingwa wake wa Afrika (ABU) uzito wa Super Welter.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger