.

9/10/2021

Billnass Ametupilia Mbali Skendo Zinazo Sema Kuwa Yeye na Nandy WamerudianaMwanamziki Mahili Hapa Tanzania Billnass Ametupilia Mbali Skendo Zinazo Sema Kuwa Yeye na Nandy The African Princess Kuwa Wapo Pamoja Tena.

Hiii Imesababishwa Baada ya Billnass kupanda kwenye Stage Wakati Nandy Akiendelea Kutoa Show yake weekend Iliyopita kwenye Tamasha la Nandy Festival Na Kupiga Show Hiyo Pamoja.

"Issue Ya Nandy Sitaki Kuizungumzia Kabisa Mimi Nilifanya Vile Ni Kama Kumuunga Mkono Tuuuu, Kuhusu Mahusiano Yetu hayo Siwezi Kuzungumzia kwa sasa, Ila Naombeni Tuuu Msimuingize Mwanangu kwenye Hiii Issue Yule Ni Malaika Sipendi Kabisa"-Ameongea Billnass

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger