.

9/06/2021

Bondia Mwakinyo APANDA Viwango vya Ubora Duniani..Kina Kiduku Mtaambia Nini WatuBondia wa #Tanzania, Hassan Mwakinyo amepanda kutoka nafasi ya 24 hadi nafasi ya 13 katika viwango vya ubora duniani, huku akiwa namba moja Afrika

Mwakinyo anashikilia Ubingwa wa Afrika (ABU) kwa uzito wa Super Welter ambao aliutetea Septemba 3 baada ya kumtwanga Julius Indongo kutoka #Namibia kwa TKO

Rekodi hizo zinaandikwa na mtandao maarufu wa Boxing duniani, Boxrec ambapo Mwakinyo ametumia ukurasa wake wa Twitter kuwashukuru mashabiki wake


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger