Ticker

6/recent/ticker-posts

Bosi mpya Man United anakuja
Manchester United inatarajia kumtangaza bosi mpya atakayerithi nafasi ya Ed Woodward ndani ya klabu hiyo pendwa duniani.Woodward mwenye umri wa miaka 49, anatarajiwa kuachia kiti hiko kutokana na kukosolewa vikali juu ya klabu hiyo kutoka England kutaka kushiriki michuano mipya ya European Super League.

Kufuatia ukosoaji huo, CEO huyo wa United alitangaza kung’atuka ifikapo mwishoni mwa mwaka huu na mrithi wake akitarajiwa kuwa, Richard Arnold kwa mujibu wa Sky News.


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments