Ticker

6/recent/ticker-posts

Breaking: Watano Wafariki Kwenye Ajali King’ori Arusha
Watu watano wamefariki dunia kwenye ajali eneo la King’ori Arusha baada ya magari mawili ya mizigo kugongana uso kwa uso, waliofariki ni waliokuwemo kwenye Canter ambao ni Abiria wawili na Dereva mmoja huku Dereva na Kondakta wa fuso pia wakifariki.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments