Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Burnaboy Afikia Levo za Diamond Platnumz Mtandao wa YouTube


Kufuatia The Giant @burnaboygram kutoka nchini nigeria 🇳🇬 kufikisha zaidi ya Jumla ya Watazamaji Billion 1' katika mtandao wa YouTube na kuwa msanii wa kwanza kufanya hivyo nchini kwao, Ni kama ameingia kwenye level za @diamondplatnumz ambae yeye tayari amesha vuka idadi hiyo ya jumla ya watazamaji tangu mwaka jana 2020 mwezi june.

Diamond aliweza kufikisha idadi hiyo mapema mwaka jana na kuweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kufikisha jumla ya watazamaji (total views) Billion'1' youtube kwa nchi zilizopo kusini mwa jangwa la sahara na kwasasa @diamondplatnumz ana zaidi ya (total views) 1.5 Billion views .

Mbali na #BurnaBoy wasanii wengine kutoka Nigeria wenye jumla ya watazamaji wengi katika YouTube channel zao ni ².@davido- Million 964, ³ @wizkidayo- million 964, ⁴@psquare- million 943 na @mrflavour- million 859...wakihitimisha top 5.


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments