.

9/10/2021

Card B, Megan Stallion Na Lil Durk Waongoza Waongoza Kutajwa Vipengele 9 Kila mmoja


Vipengele Vya Tuzo Za #BETHIPHOP2021 Vimeanikwa Hadharani, Huku @iamcardib, @theestallion Pamoja na @lildurk πŸ‡ΊπŸ‡² Wakiongoza Kutajwa Katika Vipengele 9

#CARDIB πŸ‘‰ ‘Song of The Year,’ ‘Hip Hop Artist of The Year,’ ‘ Best Hip Hop Video,’ ‘Best Collaboration’ for her and Meg’s hit song ‘WAP,’ ‘Best Live Performer,’ ‘Hustler of The Year,’ and ‘Sweet 16: Best featured Verse’.

#MeganTheeStallion πŸ‘‰ ‘Hip Hop Album of the Year,’ ‘Song of the Year,’ ‘Hip Hop Artist of the Year,’ ‘ Best Hip Hop Video,’ ‘Best Collaboration,’ ‘Best Live Performer,’ ‘Lyricist of the Year,’ ‘Hustler of the Year,’ and ‘Sweet 16: Best featured Verse’

#LILDURK ‘Song of the Year,’ ‘ Best Hip Hop Video,’ ‘Best Collaboration,’ ‘Best Duo or Group,’ and ‘Sweet 16: Best featured Verse ...Nk

Hivyo #CardiB, Megan Pamoja Na #LilDurk Wameng'ara Kwa Kutajwa Katika Vipengele 9 huku Akifuatia na #Drake Akiwa Na Vipengele 8, TylerTheCreator & #MetroBoomin Ambao Kwa Pamoja Wapo Kwenye Vipengele 4

Pia Inatajwa Kuwa October 5, 2021 Ndio Itafanyika Hafla Ya Ugawaji Wa Tuzo Hizi Za #BETHIPHOP Huko Atlanta, Marekani


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger