Diamond Ali-miss Penza la Wema, Aanika Mazito


STAA wa Bongofleva kutoka WCB Wasafi, Diamond Platnumz amesema akitazama video ya wimbo wake mpya ‘Naanzaje’ analikumbuka penzi lake na Wema Sepetu.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Diamond Platnumz ameandika ujumbe unaosomeka

“Nikiitazama hii video, hususan kipande hiki nakumbuka mbali sana… enzi za mahaba mazito na Madam, enzi ambazo tulikuwa tunajifungia chumbani wiki nzima, nakwepa ku-record na hata show ikitokea naitafutia sababu ya kutokuwepo…”“Kiukweli wimbo huu wakati nautoa sikuuchukulia serious, niliutoa tu kama ‘bonus’ kwa kujua mashabiki zangu wameni-miss kunisikia nikiimba hivyo licha ya kupokelewa na kupendwa sana ulivyotoka…”

“For some reason kadri muda uendanvyo nimejikuta naupenda sana mbaya zaidi kila niusikiapo unanifanya nitamani tena kumpenda mtu na kuwa tena kwenye mahusiano japo ghafla akili timamu hunijiagna kunambia Simba jifocusie zako kwenye kazi mwaya.”

______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad