Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Diamond Apiga Kwenye Mshono kwa Zari

DIAMOND amepiga kwenye mshono! Ndivyo walivyosikika mahasimu wa mwanamama Zari The Boss Lady.

 

Kwani ilikuwaje? Septemba 23 ni siku kubwa zaidi kwa mwanamama Zari The Boss Lady; mtu na pesa zake buana, lakini mzazi mwenzake, Diamond Platnumz au Mondi anadaiwa kumchunia laivu.

 

Ni kama hakukuwa na chochote kilichojiri kwa sababu hakuna mtu kutoka familia ya Diamond aliyemposti kuanzia Mama Dangote, Esma, Rommy Jons na hata wasanii wa Wasafi isipokuwa alipostiwa kwenye ukurasa mmoja tu wa WasafiTV.

 

Maswali ni mengi kwa sababu katika miaka mingine huwa Diamond anafanya lolote kwa kuwa ni mwanamke ambaye alimheshimisha baada ya maneno mengi kuwa hana uwezo wa kupata mtoto.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments